WADAU NINAYO FURAHA KUBWA KUWAJULISHA KUWA SALA ZENU KWA WAUKWELI ZIMESIKIKA NA SASA BINTI YUKO FITI BAADA YA KUFANYIWA OPERATION YA KICHWA KUTOA UVIMBE ULIOKUWA KICHWANI!
I HOPE SOON SHE WILL START BLOGING KAMA KAWAAAAAAAAAAAAAAAAA
HAVE A GUD TYME
BRAZATK
www.mwakilaga.blogspot.com
Mama Mdogo Kuliko Wote duniani Kujifungua Mtoto wa Tatu
-
Mama mwenye umbile dogo kuliko wote duniani anatarajia kujifungua mtoto wa
tatu ingawa madaktari wamemuonya kuwa maisha yake yako hatarini kutokana na
tum...
37 minutes ago




